Yanga yasaini mkataba mnono na GSM

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
12 Sep 2022
Yanga yasaini mkataba mnono na GSM

Klabu ya Yanga na kampuni ya GSM, leo wamesaini mikataba minono ya udhamini na utengenezaji wa jezi kwa kipindi cha miaka mitano. Mikataba yote miwili ina thamani ya TSh Bilioni 10.9

Mkataba wa utengenezaji wa jezi na vifaa vya michezo vyenye nembo ya klabu ya Yanga wenye thamani ya Tsh Bilioni 1.5 kwa mwaka, utaingizia Yanga Tsh Bilioni 9.1 katika kipindi cha miaka mitano

Mkataba wa udhamini kupitia GSM foam/Max wenye thamani ya Tsh Milioni 300 kwa mwaka utaiingizia Yanga Tsh Bilioni 1.8 katika kipindi cha miaka mitano

Akizungumza katika hafla ya utiaji saini uliofanyika Serena Hotel mapema leo, Rais wa Yanga Injinia Hersi Said amesema mahusiano mazuri kati ya Yanga na GSM yamepelekea kusainiwa kwa mikataba hiyo

Hersi amemshukuru Rais wa Makampuni ya GSM Ghalib Said Mohammed kwa kuwa sehemu ya mafanikio ya Yanga tangu tangu nyakati ngumu

Hersi amewataka Wanachama na Mashabiki wa Yanga kuiunga mkono GSM kwa kununua bidhaa zao mbalimbali

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magazeti ya leo Ijumaa, Oktoba 30 2026
Magazeti ya leo Ijumaa, Oktoba 30 2026
45m ago
READ MORE β†’
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
12h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
16h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
20h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
21h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
21h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
1d ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’