Yanga hii ni mwendo wa rekodi

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
14 Sep 2022
Yanga hii ni mwendo wa rekodi

Wanahesabu lakini? Jana Yanga ilitimiza siku 506 ikicheza mechi za ligi kuu pasipo kupoteza mchezo

Ni michezo 41 mfululizo Wananchi hawajui uchungu wa kupoteza mchezo katika ligi kuu

Baada ya miaka minne ya machungu, kwa hakika Yanga imerejesha ufalme wake kwenye soka la Tanzania kibabe

Yanga imeingia kwenye rekodi ya 10 bora ya timu zilizowahi kucheza muda mrefu pasipo kupoteza kwenye ligi DUNIANI

Halafu Wananchi hata hawaringi! Wangekuwa wale wengine sasa!

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
10h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
14h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
19h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
19h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
19h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
22h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’