Kisinda ruksa kuitumikia Yanga

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
15 Sep 2022
Kisinda ruksa kuitumikia Yanga

Kamati ya Sheria na Hadhi za Wachezaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) imepitisha usajili wa winga Tuisila Kisinda kuichezea Yanga baada ya mabingwa hao wa Tanzania Bara kufanikiwa kumuhamisha mshambuliaji Lazarus Kambole

Taarifa iliyotolewa na TFF mapema leo imabainisha kuwa awali Kamati ilizuia usajili wa Kisinda licha ya kuwa ulifanyika ndani ya dirisha la usajili kwa vile tayari Yanga ilikuwa na wachezaji 12 wa kigeni

Licha ya changamoto hiyo, pia Kisinda aliombewa hati ya uhamisho wa kImataifa (ITC) ambayo tayari imepatikana

Hivyo kwa kumuhamisha Kambole, Yanga imepata nafasi ya kumsajili Kisinda kama ilivyokuwa imeshauriwa huko nyuma

Kwa mujibu wa kanuni ya 62(1) ya ligi kuu toleo la 2022, klabu inaruhusiwa kusajili wachezaji 12 wa kigeni

Kambole amejiunga na timu ya Wakiso Giants inayocheza ligi kuu ya Uganda na tayari TFF imetoa ITC yake

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
10h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
11h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
14h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
15h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
19h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
19h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
20h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’