Habari ndio hiyo! Tuisila Kisinda 'TK Master' amepata leseni itakayomruhusu kucheza mechi za ligi kuu baada ya Kamati ya Sheria na Hadhi za Wachezaji kuidhinisha usajili wake akichukua nafasi ya Lazarus Kambole aliyejiunga na Wakiso Giants ya Uganda
Sasa wajiandae kisaikolojia kwani ule wakati wa kupima umri halisi wa wale mabeki umewadia....!

ADVERTISE HERE