Kikosi cha Yanga kinatarajiwa kuondoka Jumapili, Februari 18 2018 kuelekea nchini Shelisheli kwa ajili ya mchezo wa marudiano ligi ya mabingwa barani Afrika dhidi ya St Louis
Mchezo huo unatarajiwa kupigwa Jumatano, Februari 21 katika dimba la Stadelinite nchini Sychelles.
Yanga itaingia kwenye mchezo huo ikiwa tayari ina bao moja kibindoni kufuatia ushindi wa bao 1-0 katika mchezo wa kwanza uliopigwa juzi kwenye uwanja wa Taifa.

ADVERTISE HERE