Watu 470 wajitokeza kuwania ajira Yanga

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
21 Sep 2022
Watu 470 wajitokeza kuwania ajira Yanga

Kaimu Mtendaji Mkuu wa Yanga Simon Patrick amesema watu 470 wamejitokeza kuwania nafasi mbalimbali za ajira zilizotangazwa na Yanga August 13 2022

Nafasi zinazowaniwa ni Mtendaji Mkuu, Mkurugenzi wa Fedha, Mkurugenzi wa Habari, Meneja Mahusiano, Afisa Habari, Meneja Miradi na Daktari wa timu ambapo mwisho wa kuomba nafasi hizo ilikua tarehe 18/08/2022

"Maombi 470 yalitumwa, Kamati ya usahili ilipitia majina yote na kufanya mchujo kwa kuzingatia sifa na kuja na orodha ya jumla ya watu 47. Kamati ya Usahili ilikaa siku ya Ijumaa na Jumamosi kwa maana ya tarehe 16 na 17 mwezi September 2022 na kufanya usahili wa watu wote 47"

"Leo secretariat itapokea ripoti ya usahili huo, itaipitia na kuhakikisha kuja kufika Ijumaa hii wale wote waliofanikiwa kwenye mchakato huo wanataarifiwa rasmi na mambo mengine ya kiutawala yanakamilika"

"Muda wowote kuanzia hapo umma utataarifiwa safu mpya ya Menejimenti ya Yanga," alisema Simon

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
11h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
12h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
15h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
16h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
20h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
20h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
20h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’