Kabwili amshangaza kocha St Louis

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
13 Feb 2018
Kabwili amshangaza kocha St Louis
Kocha mkuu wa St Louis ya Shelisheli, Michel Reneeud alipomwona mlinda mlango wa Yanga, Ramadhan Kabwili alishangaa kumuona ameaminiwa kukaa licha ya umri wake kuwa mdogo.

Lakini akapongeza kitendo hicho na kusema atakuja kuwa mzuri zaidi hapo baadaye.

Kabwili alidaka kwenye mchezo wa kimataifa wa Ligi ya Mabingwa Afrika walipocheza na St Luois hatua ya awali wakatoka na ushindi wa bao 1-0.

Reneeud anamjua Kabwili alimwona kwenye timu ya taifa ya vijana (U-17) walipocheza na Shelisheli ndiyo maana alishangaa kumwona kwenye kikosi hicho cha Jangwani.

"Huyu ni Kabwili namjua huyu kipa, nimeshangaa kumwona hapa ni mdogo Yanga wamemwamini yeye. Nilimwona alipokuja Shelisheli na timu ya vijana wamempa timu kubwa,"anahoji na kuongeza.

"Nimeshangaa sana, lakini kitu ninachoamini, atakuja kuwa kipa mzuri sana hapo baadaye kutokana na hiki wanachokifanya, kikubwa kama na yeye atathamini, atakuja kuwa mchezaji mzuri zaidi baadaye."

Mwanaspoti
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
10h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
10h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
14h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
15h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
19h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
19h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
19h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’