Ali Kamwe, Privaldinho watua Yanga

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
27 Sep 2022
Ali Kamwe, Privaldinho watua Yanga

Ni rasmi Mchambuzi wa Azam TV Ali Kamwe ametua Yanga kuchukua nafasi ya Afisa Habari akirithi mikoba iliyoachwa na Hassan Bumbuli

Aidha Yanga pia Yanga imemtangaza Priva Abiud (Privaldinho) kuwa Digital Manager ambapo jukumu lake litakuwa kusimamia kitengo cha digitali

Wakati huohuo Haji Mfikirwa ametangazwa kuwa Mgurugenzi wa Wanachama, Mashabiki na mahusiano ya Wanachama na Mashabiki

Hatimaye zile tetesi kuhusu Kamwe zimethibitishwa leo, Wananchi tunamkaribisha kunako klabu ya Yanga

Kamwe na Privaldinho wamekuwa wakifanya vizuri katika vituo vyao vya awali Azam Tv na Clouds Media, ni matarajio ya Wananchi wataendeleza kile walichokuwa wakifanya kwa ubora zaidi

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1m ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
7m ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
9h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
10h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
13h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
17h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
20h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
21h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
1d ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
1d ago
READ MORE β†’