Mwamuzi raia wa Rwanda Samwel Uwikunda atachezesha mchezo wa ligi ya Mabingwa Afrika raundi ya kwanza kati ya Yanga ya Tanzania dhidi ya Al Hilal ya Sudan utakaopigwa Oktoba 08 uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es salaam
Mwamuzi huyo atasaidiwa na Dieudone Mutuyimana na Justin Karangwa wote kutoka nchini Rwanda

ADVERTISE HERE