Nabi ana jeshi kamili la kuwakabili Al Hilal

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
7 Oct 2022
Nabi ana jeshi kamili la kuwakabili Al Hilal

Kocha Mkuu wa Yanga Nasreddine Nabi anakwenda kuwakabili Al Hilal akiwa na kikosi chake kamili

Afisa Habari wa Yanga Ali Kamwe amethibitisha kuwa mpaka kufikia jana jioni, wachezaji waliokuwa majeruhi afya zao zimeimarika na kurejea kikosini

Jesus Moloko, Gael Bigirimana ambao walikosa mchezo wa ligi kuu dhidi ya Ruvu Shooting wote wako fiti kuwakabili Al Hilal

Aidha winga Tuisila Kisinda nae atakuwa sehemu ya kikosi cha Yanga Jumamosi, akipata leseni ya kushiriki kuanzia raundi ya pili ya mtoano baada ya usajili wake kukamilishwa kwenye dirisha la pili la usajili wa CAF lililofungwa Septemba 15

Stephane Azizi Ki, Feisal Salum, Bernard Morrison, Fiston Mayele, Bangala, Job, Diara, Mwamnyeto, Kibwana, Lomalisa, Aucho na wengine wote wako tayari kuwakabili Al Hilal

Kazi ni kwake Nabi kuachagua wachezaji 11 watakaoipeperusha vyema bendera ya Yanga na Tanzania kwa ujumla

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
7h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
10h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
15h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
15h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
15h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
19h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’