Tutafuta makosa ya msimu uliopita - Kaze

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
7 Oct 2022
Tutafuta makosa ya msimu uliopita - Kaze

Kocha Msaidizi wa Yanga Cedrick Kaze amesema kuwa makossa ambayo waliyafanya msimu uliopita kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika na kutolewa mapema yamewapa hasira ya kupambana kuyafuta

Ikumbukwe kwamba msimu wa 2021/22 kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika Yanga iliondoshwa hatua ya awali kwa jumla ya mabao 2-0 dhidi ya Rivers United.

Kaze amesema kuwa wanatambua mashabiki wanahitaji matokeo hata wachezaji nao wanatambua kinachohitajika ni ushindi.

"Kuanzia benchi la ufundi, wachezaji, viongozi na mashabiki wanahitaji ushindi hilo lipo wazi, makosa ambayo tulifanya msimu uliopita yametupa hasira ya kupambana kuyafuta kwa kupata matokeo mazuri"

"Ukiangalia aina ya wachezaji waliopo kikosini wote ni wazuri na wana uzoefu pia kwenye mashindano ya kimataifa ni suala la kusubiri na kuona kile ambacho tunafanyia kazi mazoezini kinatupa matokeo chanya," alisema Kaze

Yanga itamenyana na Al Hilal Jumamosi Oktoba 08 katika mchezo unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
3h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
7h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
12h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
12h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
12h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
16h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’