Huyu ndio mdaka mishale sasa

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
9 Oct 2022
Huyu ndio mdaka mishale sasa

Jana Mlinda lango wa Yanga Djigui Diarra aliibuka shujaa baada ya kuokoa mipira takribani mitatu ya hatari ambayo kama sio umahiri wale Al Hilal wangeweza kufunga mabao

Diarra alifanya kazi hiyo kwenye kipindi cha pili ambapo Al Hilal walitumia mashambulizi ya kushitukiza kupitia mianya iliyokuwa ikiachwa na wachezaji wa Yanga katika wingi baada ya kupanda mbele kushambulia

Umahiri wake uliweka ubao wa matokeo ya mchezo huo kusomeka  1-1 hivyo kuipa nafasi Yanga kwenda kusaka ushindi katika dakika 90 za mchezo wa marudiano ambao utapigwa Sudan Oktoba 16

Baada ya kupitia changamoto za majeruhi ya hapa na pale msimu huu, Diarra amerejea katika ubora wake

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
1h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
5h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
6h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
6h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
9h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’