Fei Toto mchezaji bora wa ligi kuu Septemba 2022

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
10 Oct 2022
Fei Toto mchezaji bora wa ligi kuu Septemba 2022

Kiungo wa Yanga feisal Salum 'Fei Toto' amechaguliwa kuwa mchezaji bora wa ligi kuu ya NBC kwa mwezi Septemba 2022 huku kocha mkuu wa Namungo Fc Hnour Janza akiibuka kuwa kocha bora katika mwezi huo

Kikao cha Kamati ya tuzo kilichoketi jijini Dar es salaam mwishoni mwa wiki iliyopita, kilimchagua Feisal baada ya kuonyesha kiwango kizuri kwa mwezi Septemba na kutoa mchango mkubwa kwa klabu ya Yanga ikiwa ni pamoja na kufunga mabao mawili

Feisal aliwashinda Moses Phiri wa Simba na Reliants Lusajo wa Namungo Fc wakati Janza akiwashinda Charles Mkwasa wa Ruvu Shooting na Thiery Hitimana wa KMC

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
7h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
7h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
11h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
11h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
16h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
16h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
16h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’