Jumapili ijayo, Oktoba 23, mchezo wa kwanza wa watani wa jadi, Yanga vs Simba katika ligi kuu utapigwa katika uwanja wa Benjamin Mkapa
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limetangaza viingilio vya mchezo huo utakaopigwa kuanzia saa 11 jioni

ADVERTISE HERE