Sureboy aiwahi Simba

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
20 Oct 2022
Sureboy aiwahi Simba

Kiungo mshambuliaji wa Yanga Salum Abubakar 'Sure Boy' amerejea kikosini baada ya kupona ugonjwa wa malaria

Sure Boy hakuwa sehemu ya kikosi kilichosafiri Sudan kuwakabili Al Hilal kwenye mkondo wa pili ligi ya mabingwa baada ya kuugua siku moja kabla ya safari

Kiungo huyo maarufu 'Babu Kaju' anajifua na wenzake Avic Town kuelekea mchezo dhidi ya Simba ambao utapigwa Jumapili Oktoba 23 katika uwanja wa Benjamin Mkapa

Yanga iliingia kambini juzi kujiandaa na mtanange huo unaosubiriwa kwa hamu na mashabiki wa soka Tanzania pengine Afrika Mashariki

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
55m ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
5h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
6h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
6h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
9h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’