Kamwe awaalika mashabiki kwa Mkapa

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
22 Oct 2022
Kamwe awaalika mashabiki kwa Mkapa

Afisa Habari wa Yanga Ali Kamwe amewataka mashabiki kutumia siku ya leo kuhakikisha wamenunua tiketi zao kuelekea mchezo wa ligi kuu dhidi ya Simba ambao utapiwa kesho Jumapili katika uwanja wa Benjamin Mkapa

Kamwe amesema kikosi kiko tayari kwa mchezo huo akibainisha kuwa mashabiki ni sehemu ya hamasa kwa wachezaji ambao wamedhamiria kushinda

Kamwe amebainisha wamekuwa wakipata matokeo mazuri katika michezo dhidi ya Simba sio kwa sababu ya ubora wa wachezaji wao pekee, bali pia sapoti ya mashabiki wao uwanjaniΒ 

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
5h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
9h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
13h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
14h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
14h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
17h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’