Yanga kuifuata Geita Gold Ijumaa

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
27 Oct 2022
Yanga kuifuata Geita Gold Ijumaa

Mabingwa wa soka Tanzania Bara, Yanga wataondoka jijini Dar es salaam kesho Ijumaa kuwafuata Geita Gold tayari kwa mchezo wa ligi kuu ya NBC ambao utapigwa siku ya Jumamosi, Oktoba 29

Afisa Habari wa Yanga Ali Kamwe amesema licha ya ugumu wa ratiba, wamejipanga kupata ushindi dhidi ya Geita Gold siku ya Jumamosi

Yanga itaondoka jijini Dar es salaam mapema na kuwasili jijini Mwanza majira ya saa moja asubuhi

Yanga itakuwa na siku moja ya kufanya mazoezi katika uwanja wa CCM Kirumba tayari kwa mchezo huo

Baada ya ushindi wa bao 1-0 dhidi ya KMC hapo jana, Yanga imejikita kileleni mwa msimamo wa ligi baada ya kufikisha alama 17

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
1h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
6h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
6h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
7h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
10h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’