Adhabu, faini zinaendelea Yanga

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
8 Nov 2022
Adhabu, faini zinaendelea Yanga

Kamati ya Uendeshaji na Usimamizi wa ligi ya Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB), imeitoza Yanga faini ya Tsh Milioni 5 kwa kosa la kuingia chumba cha kuvalia nguo kwa mlango usiokuwa rasmi katika mchezo wa ligi kuu dhidi ya Simba uliopigwa Oktoba 23 katika uwanja wa Benjamin Mkapa na kumalizika kwa matokeo ya suluhu ya bila kufungana

Aidha kiungo mshambuliaji Stephane Aziz Ki amefungiwa mechi tatu na faini ya Tsh laki 5 kwa kosa la kukwepa kusalimiana na wachezaji wa timu pinzani katika mchezo huo

Adhabu kama hiyo pia amepewa kiungo wa Simba Clatous Chama

Mashabiki na Wanachama wa Yanga Israel Suma, Kais Mwasongwe, Soud Tall na Mohammed Mposo wamefungiwa miezi mitatu (3) kwa kosa la kuwavamia waamuzi wa mchezo dhidi ya Simba wakati wa mapumziko

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
5m ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
15h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
15h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
18h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
19h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
23h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’