Ni mwendo wa mechi nyumbani, mechi ugenini

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
15 Nov 2022
Ni mwendo wa mechi nyumbani, mechi ugenini

Alhamisi, Novemba 16 2022 Yanga itakuwa uwanja wa Benjamin Mkapa kupepetana na Singida Big Stars katika mchezo wa ligi kuu ya NBC

Baada ya mchezo huo, Yanga itaelekea mkoani Dodoma kwa ajili ya mechi nyingine ya ligi dhidi ya Dodoma Jiji ambayo itapigwa Novemba 22 uwanja wa Jamhuri

Wananchi watalazimika tena kurudi Dar kwa ajili ya mechi nyingine ya ligi dhidi ya Mbeya City ambayo itapigwa Novemba 26

Yanga itaondoka Dar kuelekea mkoani Mbeya kuwafuata Ihefu Fc kwa ajili ya mechi ya kiporo ambayo itapigwa Novemba 29 uwanja wa Sokoine

Kisha Yanga itarejea tena Dar kuikabili Tanzania Prisons mchezo utakaopigwa Disemba 04 katika uwanja wa Benjamin Mkapa

Wananchi wataingia tena barabarani kuelekea mkoani Lindi kukamilisha mechi za mzunguuko wa kwanza kwa kuikabili Namungo Fc

Kwa jinsi ratiba ilivyo, Yanga itakuwa na safari nyingi, kwani watacheza mechi moja nyumbani, mechi moja ugenini

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
10h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
14h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
19h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
19h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
19h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
22h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’