Kituo kinachofuata, Singida Big Stars

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
15 Nov 2022
Kituo kinachofuata, Singida Big Stars

Baada ya mapumziko ya takribani siku tatu, Yanga itarejea dimbani siku ya Alhamisi kuikabili Singida Big Stars katika mchezo wa ligi kuu ya NBC

Ni mtanange wa kukata na shoka ambao utapigwa uwanja wa Benjamin Mkapa, saa 1 usiku

Hakuna shaka vijana prof Nasreddine Nabi watarejea katika ubora wao kuwakabili Singida Big Stars katika mchezo ambao ushindi ni muhimu

Baada ya kurejea Dar kutoka Mwanza hapo jana, wachezaji walipewa mapumziko na walitarajiwa kurudi mazoezini leo kujiandaa na mchezo huo

Yanga iko kileleni mwa msimamo wa ligi ikiwa imekusanya alama 23 baada ya kushuka dimbani mara tisa

Ushindi katika mchezo huo utawahakikishia kuendelea kubaki juu kwenye msimamo licha ya kucheza mechi chache kuliko washindani wake wa karibu Azam Fc na Simba

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
3h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
3h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
7h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
8h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
12h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
12h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
12h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
22h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
23h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’