Matukio mawili kufanyika Singida

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
21 Nov 2022
Matukio mawili kufanyika Singida

Kesho Jumanne Yanga itashuka uwanja wa Liti mkoani Singida kuikabili Dodoma Jiji katika mchezo wa ligi kuu ya NBC

Afisa Habari wa Yanga Ali Kamwe amesema katika mchezo huo watafanya matukio makubwa mawili

Kwanza ni kuendeleza utaratibu wa kuwapongeza wachezaji na benchi la ufundi baada ya kucheza mechi 47 pasipo kupoteza kwenye ligi kuu ya NBC

Tukio hilo litafanyika katika dakika ya 47 ya mchezo ambapo mashabiki wa Yanga watasimama kwa dakika moja kuwapigia makofi wachezaji na benchi la ufundi

Lakini pia tukio hilo litakwenda sambamba na pongezi kwa Mfadhili/Mdhamini wa klabu ya Yanga, Ghalib Said Mohammed 'GSM' ambaye juzi ilikuwa kumbukumbu ya siku yake ya kuzaliwa

Wananchi watatumia mechi dhidi ya Dodoma Jiji kumshukuru na kumtakia kila la kheri katika majukumu yake

GSM ndiye chachu ya furaha ya Wananchi kwa sasa, uwekezaji wake ndani ya klabu ya Yanga umekuja na mafanikio makubwa

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
3h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
3h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
6h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
7h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
11h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
12h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
12h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
22h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
22h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’