Wachezaji Yanga 'wampagawisha' Nabi

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
27 Nov 2022
Wachezaji Yanga 'wampagawisha' Nabi

Kocha Mkuu wa Yanga Nasreddine Nabi amewapongeza wachezaji wake kwa kuibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Mbeya City katika mchezo wa ligi kuu uliopigwa uwanja wa Benjamin Mkapa jana

Licha ya changamoto ya ratiba, Nabi amesema wachezaji wake wameendelea kuonyesha nidhamu ya hali ya juu wakiipambania Yanga kuweza kupata ushindi

"Ukweli najivunia nidhamu ya wachezaji wangu katika mchezo huu, wamejituma na kujitolea, nawashukuru kwa ushindi huu. Wanastahili pongezi," alisema Nabi

Nabi amesema kutokana na ukaribu wa mechi wakicheza kila baada ya siku tatu, ataendelea kufanya mabadiliko ya kikosi ili kuhakikisha analinda afya za wachezaji wake pasipo kuathiri ubora wa timu uwanjani

Yanga itapumzika leo na kesho, siku ya Jumanne inakabiliwa na mchezo mwingine dhidi ya Ihefu Fc ambao utapigwa uwanja wa Sokoine

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
2h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
2h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
2h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
12h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
13h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
15h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
20h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
23h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
1d ago
READ MORE β†’