FT : Ihefu Fc 2-1 Yanga

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
29 Nov 2022
FT : Ihefu Fc 2-1 Yanga

Ihefu Fc wamefanikiwa kupata ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Yanga katika mchezo wa ligi kuu uliopigwa uwanja wa Highland Estates, Mbarali

Yannick Bangala aliitanguliza Yanga kabla ya Never Tigere na Lanny Kisu kuifungia Ihefu Fc mabao muhimu

Ulikuwa mchezo tofauti kwa Yanga siku ya leo, tunaweza kusema Wananchi hawakuwa katika ubora wao, ile kasi iliyozoeleka haikuonekana

Rekodi ya unbeaten imefikia tamati katika mechi ya 49, hii tayari ni rekodi ambayo inaingia rasmi kwenye vitabu

Ni lazima rekodi hiyo ingefikia tamati kwani hakuna timu iliyowahi kucheza milele pasipo kupoteza mchezo

Baada ya kupoteza mechi leo, ile presha iliyokuwa kwa wachezaji inaondoka na tutarajie 'reaction' yao katika mchezo unaofuata dhidi ya Tanzania Prisons

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
53m ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
3h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
6h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
16h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
21h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
1d ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
1d ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’