Nabi afungiwa mechi tatu

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
2 Dec 2022
Nabi afungiwa mechi tatu

Kamati ya Uendeshaji na Usimamizi wa ligi ya Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) katika kikao chake cha Disemba 1, ilipitia matukio mbalimbali ya ligi na kufanya maamuzi

Kocha Mkuu wa Yanga Nasreddine Nabi amefungiwa mechi tatu pamoja na faini ya Tsh 500,000/- kutokana na tukio la kurumbana na waamuzi katika mchezo wa ligi kuu kati ya Ihefu Fc dhidi ya Yanga uliopiwa Novemba 29 uwanja wa Highland Estates, Mbeya

Taarifa iliyotolewa na Bodi, imebainisha adhabu hiyo ni kwa kuzingatia kanuni ya 42:2(2.1) ya ligi kuu kuhusu udhibiti wa makocha

Katika mchezo ambao Yanga ilipoteza kwa kufungwa mabao 2-1, Nabi hakufurahishwa na matukio ya rafu waliyokuwa wakifanyiwa wachezaji wa Yanga hasa Fiston Mayele

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
57m ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
4h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
9h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
9h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
9h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
13h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’