Mshambuliaji wa Yanga Fiston Mayele ameibuka mchezaji bora wa ligi kuu ya NBC kwa mwezi Novemba 2022
Mayele ameshinda tuzo hiyo kama ilivyotarajiwa na wengi baada kufunga mabao saba katika mwezi huo
Katika mabao hayo, matatu ni hat-trik aliyofunga katika mchezo dhidi ya Singida Big Stars na mawili kuwafunga Dodoma Jiji
Ni mwezi wa pili mfululizo tuzo hiyo inaelekea Jangwani kwani kiungo Feisal Salum 'Fei Toto' alishinda tuzo hiyo mwezi Oktoba
ADVERTISE HERE