Takwimu zinadhihirisha ubabe wa Yanga

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
8 Dec 2022
Takwimu zinadhihirisha ubabe wa Yanga

Kulingana na taarifa ya Bodi ya Ligi, Yanga ndio klabu yenye uwiano mzuri wa ushindi kwenye ligi katika mechi 15 za duru ya kwanza

Taarifa iliyotolewa na TPLB imebainisha kuwa Yanga ina wastani wa ushindi katika mechi zake kwa asilimia 80 ikiwa inaongoza

Inafuatiwa na Azam Fc yenye wastani wa ushindi asilimia 73 na nafasi ya tatu inashikiliwa na Simba yenye wastani wa ushindi asilimia 67

Ndio tusema maji na mafuta.....!

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
7h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
10h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
15h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
15h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
15h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
19h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’