Yanga hii yeyote anakufunga

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
10 Dec 2022
Yanga hii yeyote anakufunga

Yanga imekamilisha mechi 15 za duru ya kwanza ikiwa kileleni mwa msimamo wa ligi baada ya kufikisha alama 38

Moja ya maeneo ambayo Yanga imefanikiwa kuliko wapinzani wake ni timu kutokuwa tegemezi

Mkufunzi wa Yanga Nasreddine Nabi amefanikiwa kuifanya timu yake isiwe tegemezi kwa mchezaji mmoja

Fiston Mayele ndiye kinara wa mabao katika kikosi cha Yanga, akiwa amefunga mabao 10

Lakini zipo mechi Mayele hakucheza na Yanga ikapata ushindi pasipo wasiwasi

Yanga hii ya Nabi mabeki wanafunga, viungo na washambuliaji wanafunga

Safu ya Ulinzi ya Yanga ina mabao sita, Bakari Nondo Mwamnyeto akifunga mabao mawili kama ilivyo kwa Yannick Bangala

Pia Kibwana Shomari na Djuma Shabani nao wamefunga bao moja kila mmoja

Katika eneo la kiungo Feisal Salum ana mabao matano, Stephane Aziz Ki ana mabao mawili

Wakati mawinga Bernard Morrison ana mabao mawili na Tuisila Kisinda akiwa na bao moja. Clement Mzize nae ana bao moja katika eneo la ushambuliaji

Katika eneo la usaidizi wa mabao, wachezaji 12 wa Yanga wameshiriki katika kufanikisha upatikanaji wa mabao 27 yaliyofungwa na Yanga kwenye duru ya kwanza

Takwimu hizi zinaonyesha kuwa Yanga inafanikiwa kama timu zaidi kuliko mchezaji mmoja mmoja

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
10h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
11h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
14h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
15h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
19h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
19h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
19h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’