Matchday : Yanga vs Kurugenzi Fc, FA Cup

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
11 Dec 2022
Matchday : Yanga vs Kurugenzi Fc, FA Cup

Kikosi cha Yanga leo kitashuka uwanja wa Benjamin Mkapa kumenyana na Kurugenzi Fc katika mchezo wa kombe la Shirikisho la Azam (ASFC), raundi ya pili

Wakiwa mabingwa watetezi wa michuano hiyo, Wananchi watahitaji kuibuka na ushindi ili kukata tiketi kuelekea raundi ya tatu

Kurugenzi Fc wanashiriki ligi daraja la pili, matarajio ya mashabiki wa Yanga ni kuona timu yao inaibuka na ushindi mnono

Hata hivyo Wananchi hawapaswi kuwadharau wapinzani wao hao kwani wakati mwingine mchezo wa mpira wa miguu hutoa matokeo ya kustaajabisha

Wapinzani wake katika mbio za ubingwa Azam Fc na Simba wao walipata ushindi mnono katika mechi zao Azam Fc wakiwachabanga Malimao Fc mabao 9-0, Simba wakishinda 8-0 dhidi ya Eagles Fc

Ni wazi mashabiki wa Yanga nao watapenda kuona timu yao ikiibuka na ushindi mnono ingawa jambo muhimu zaidi ni ushindi ili kusonga mbele hatua inayofuata

Mchezo utapigwa kuanzia saa 1 usiku

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
2h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
2h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
6h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
6h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
11h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
11h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
11h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
21h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
22h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’