Mara paap! Bobos huyu hapa

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
17 Dec 2022
Mara paap! Bobos huyu hapa

Tetesi zimekuwa nyingi kuhusu kiungo mahiri wa Vipers Fc, Bobos Byruhanga anayehusishwa kutakiwa na mabingwa wa soka Tanzania Bara, Yanga

Rais wa Yanga Injinia Hersi Said aliahidi kuwa kwenye usajili wa dirisha dogo watafanya maboresho kwa kuleta wachezaji bora zaidi katika maeneo yenye mapungufu

Bobos alikuja hapa Tanzania na Vipers Fc kucheza na Yanga katika kilele cha wiki ya Mwananchi, kazi yake ilionekana

Mganda huyu anaweza kuongeza ubora katika eneo la kiungo ambalo kwa sasa analishikilia Mganda mwenzake Khalid Aucho 'Doctor'

Dirisha dogo la usajili tayari limefunguliwa, ambapo leo katika mchezo dhidi ya Polisi Tanzania, Yanga imewaahidi mashabiki na wanachama wake sapraizi. Je ni Yeye? Tusubiri....!

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
1h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
5h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
6h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
6h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
9h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’