Ni kipigo cha mbwa koko Yanga ikisonga mbele hatua inafuata michuano ya kombe la Shirikisho la Azam (ASFC) baada ya kuibamiza Kurugenzi Fc mabao 8-0
Pamoja na mabadiliko makubwa ya kikosi aliyofanya kocha Nasreddine Nabi, Yanga ilikuwa na ubora uleule kinda Clement Mzize akiondoka na mpira baada ya kufunga mabao manne
Mzize alifunga bao la mapema zaidi kwenye sekunde ya 18 akiendeleza ubora wake katika kupasia mipira kambani
Mabao mengine ya Yanga yalifungwa na Yusufu Athumani aliyefunga mabao mawili na David Bryson



ADVERTISE HERE