Yanga imeendelea na mazoezi ya Gym kujenga miili sasa wakiingia wiki ya pili.
Katika mazoezo ya leo Obrey Chirwa amejumuika na wachezaji wengine huku mlinda lango Deo Munishi 'Dida' aliyekuwa amekwenda kufanya majaribio nchini Afrika Kusini akijumuika katika mazoezi ya leo.

Obrey Chirwa amerejea

Dida nae alikuwepo leo

ADVERTISE HERE