Nabi amemaliza adhabu

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
12 Dec 2022
Nabi amemaliza adhabu

Kocha Mkuu wa Yanga Nasreddine Nabi amemaliza adhabu ya mechi tatu alizokuwa amefungiwa na Bodi ya Ligi

Nabi alikosa mechi dhidi ya Tanzania Prisons, Namungo Fc na jana dhidi ya Kurugenzi Fc ukiwa ni mchezo wa kombe la FA

Profesa Nabi atarejea kwenye benchi katika mchezo wa ligi kuu dhidi ya Polisi Tanzania ambao utapigwa Jumamosi, Disemba 17 katika uwanja wa Benjamin Mkapa

Utakuwa mchezo wa kwanza, mzunguuko wa pili ligi kuu ya NBC raundi ya lala salama

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
2h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
7h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
7h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
7h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
11h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’