Kesho Jumanne, Disemba 20 2022, Yanga itakuwa uwanja wa Benjamin Mkapa kupepetana na Coastal Union katika mchezo wa ligi kuu ya NBC
Yanga imetangaza viingilio vya mchezo huo ambapo VIP A ni Tsh 15,000/-, VIP B na C ni Tsh 10,000/- na Mzunguuko ni Tsh 5,000/-
Mchezo utapigwa kuanzia saa 12:15 jioni

ADVERTISE HERE