Tayari umejisajili kuwa Shabiki/Mwanachama?

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
19 Dec 2022
Tayari umejisajili kuwa Shabiki/Mwanachama?

Timu ya Kilinet wakiwa pamoja na maafisa wa Yanga, kesho kabla ya mchezo dhidi ya Coastal Union watakuwa uwanja wa Benjamin Mkapa kusajili Wanachama na Mashabiki 

Yanga imewarahisishia Wananchi kwa kuendesha zoezi la usajili wa mtaa kwa mtaa ndani ya jiji la Dar es salaam pomoja na kuendesha zoezi hilo katika kila mechi

Habari njema ni kuwa unapokamilisha usajili wako, unapata kadi yako hapo hapo hivyo hii ni nafasi kwako Mwananchi

Kuanzia saa 4 asubuhi, zoezi la usajili litaanza nje ya uwanja wa Benjamin Mkapa

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
7h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
7h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
11h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
11h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
16h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
16h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
16h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’