Happy Birthday Kisinda

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
21 Dec 2022
Happy Birthday Kisinda

Winga mwenye kasi, muasisi wa kupima umri sahihi wa wachezaji katika ligi kuu ya NBC, Tuisila Kisinda, alizaliwa tarehe na mwezi kama wa leo

Kisinda alirejea Yanga katika usajili uliopita baada ya kuitumikia RS Berkane kwa msimu mmoja akitokea kwa Wananchi

Bado Wananchi hawajamuona yule Kisinda waliomsajili kutoka klabu ya AS Vita na kupokolewa na maelfu ya mashabiki wa Yanga pale uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere akiwa sambamba na Mukoko Tonombe ambaye kwa sasa anaitumikia TP Mazembe

Msimu huu Kisinda amefunga bao moja na kutoa pasi mbili za mabao, lakini bado Wananchi hawajaridhishwa na ufanisi wake

Habari njema ni kuwa ameendelea kuimarika kadiri anavyopewa nafasi ya Kocha Mkuu wa Yanga Nasreddine Nabi

Ikumbukwe Yanga ya sasa anayocheza ni tofauti na ile aliyoitumikia mwanzo, ni suala la muda tu yeye kufikia ule ubora ambao wengi wanaufahamu

HAPPY BIRTHDAY KISINDA...!

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
9h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
10h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
13h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
14h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
18h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
18h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
18h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’