Kocha wa viungo Yanga apongezwa

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
21 Dec 2022
Kocha wa viungo Yanga apongezwa

Achana na shamrashamra zake za kushangilia magoli na wachezaji wa Yanga kila wanapoweka mpira 'kambani'

Kocha wa viungo wa Yanga prof Helmy Gueldich amefanya kazi kubwa kuifanya Yanga hii icheze mechi mfululizo katika kiwango cha hali ya juu

Mchambuzi mkongwe wa soka nchini Edo Kumwembe amewagia sifa Helmy akibainisha kuwa ndio chachu ya mafanikio ya Yanga kwani amewafanya wachezaji wawe na 'fitness' ya hali ya juu

"Ambacho hakizungumziwi na vijana wangu ninaowasoma mitandaoni ni suala la fitness ya Mayele na Yanga kwa ujumla.Mayele anasifiwa kufunga tu.Hasifiwi fitness yake. Sijui kwanini. Bao la kwanza jana baada mpira wa kichwa kugonga mwamba reaction ya kufunga kwa mguu ilitokana na fitness yake"

"Wengine kuurudia tena ule mpira ni issue kama fitness level yako ipo chini. Bao lake la pili angalia alivyokimbia kwa kasi hatua 25 huku mpira ukiwa kwa Aziz Ki.Mbele yake kulikuwa na mabeki wawili wa Coastal, akawapita, na bado hawakuweza kumechi na kasi yake.Wakati mwingine mabao yake yanatokana na fitness aliyonayo"

"Yule jamaa mwenye minywele kwenye Benchi la Yanga (Helmy) ni mtu muhimu sana. Wachezaji wengi wa Yanga wako fiti kimwili hata kabla ya suala la akili zao uwanjani," aliandika Kumwembe kawenye ukurasa wake wa mtandao wa Instagram

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
7h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
7h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
10h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
15h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
18h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
19h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
21h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
1d ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’