Yanga Princess dimba la Mkapa dhidi ya Simba Queens leo

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
22 Dec 2022
Yanga Princess dimba la Mkapa dhidi ya Simba Queens leo

Ligi Kuu ya Wanawake Serengeti Lite imeingia mzunguuko wa tatu ambapo Yanga Princess leo itakuwa ugenini dhidi ya Simba Queens katika  mchezo utakaopigwa uwanja wa Benjamin Mkapa

Mchezo huo ambao mashabiki watapata kuushuhudia pasipo kulipa kiingilio, utapigwa kuanzia saa 11 jioni

Ni dabi ya kwanza kwa kocha Sebastian Nkoma ambaye kabla ya kutua Yanga Princess aliwahi kuinoa Simba Queens

Katika Mkutano wake na wanahabari jana, Nkoma alisema anatarajia kupata upinzani mkali kutoka kwa Simba Queens kwani ni timu anayoifahamu vyema na pia wao wanamfahamu

Lakini alisema dhamira ya Yanga Princess ni kushinda mchezo huo kwani msimu huu wana malengo makubwa ya kutwaa ubingwa

Kila la kheri Yanga Princess

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
3h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
7h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
11h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
12h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
12h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
15h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’