Wachezaji Yanga wamfariji Nadir

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
23 Feb 2018
Wachezaji Yanga wamfariji Nadir
Baada ya mazoezi leo asubuhi, wachezaji wa Yanga pamoja na benchi la Ufundi walifika nyumbani kwa nahodha wao Nadir Haroub 'Cannavaro' kumpa pole baada ya kupata msiba.

Nadir alifiwa na mwanawe aliyekuwa amelazwa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili juzi Alfajiri.

Msiba huo umetokea wakati Nadir akiwa na kikosi cha Yanga nchini Sherisheri walikofuzu raundi ya kwanza ya michuano ya ligi ya mabingwa barani Afrika.

Mtoto huyo aliyekuwa na miezi miwili amezikwa jana mchana
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
1h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
4h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
9h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
9h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
9h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
13h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’