FT : Azam Fc 2-3 Yanga

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
25 Dec 2022
FT : Azam Fc 2-3 Yanga

Hii ndio Yanga, timu bora Tanzania kwa sasa, anayebisha na abishe

Ushindi wa mabao 3-2 dhidi ya Azam Fc uwanja wa Benjamin Mkapa unazidi kuiweka Yanga kileleni mwa msimamo wa ligi

Mabao ya Fiston Mayele, Stephane Aziz Ki na Farid Mussa yametosha kuihakikishia Yanga alama tatu muhimu

Aziz Ki apewe heshima yake, huyu ni mchezaji aliyekuja kufanya kazi Yanga

Alama 47 kileleni mwa msimamo wa ligi, alama 10 mbele ya Azam Fc na alama tisa mbele ya Simba

Tatizo waliongea sana...! adhabu hii wamestahili

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
2h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
2h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
2h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
5h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
20h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
21h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’