Usajili huu utatuongezea maadui - Kamwe

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
29 Dec 2022
Usajili huu utatuongezea maadui - Kamwe

Afisa Habari wa Yanga Ali Kamwe ametamba kuwa mashabiki wa timu hiyo wanapaswa kulindana kwa kutembea wawili wawili kutokana na aina ya usajili wanaokwenda kufanya katika dirisha hili dogo

Katika dirisha hili dogo Yanga imehusishwa na nyota kadhaa huku jana ikithibitisha kuwahitaji wachezaji wawili wa Azam Fc James Akaminko na Kipre Junior

Pamoja nao, Yanga pia inahusihwa na winga wa Al Ahly Luis Miquissone na kiungo wa Vipers Fc Bobos Byaruhanga

Kamwe amesisitiza kauli aliyotoa Rais wa Yanga Injinia Hersi Said kuwa watasajili nyota wawili au watatu wa daraja la juu ambao wataongeza zaidi ubora wa kikosi

"Nakwambia usajili tunaokwenda kufanya katika dirisha hili utatuongezea maadui. Wanachama na Mashabiki wetu wahakikishe wanalindana kwa kutembea wawili wawili kwani maaduni wataongezeka," alitamba Kamwe

Bado mashabiki wa Yanga wanasubiri kwa hamu kuona wachezaji watakaosajiliwa lakini jambo la uhakika ni kuwa ahadi ilitolewa na Rais Injinia Hersi, ambaye hajawahi kuwaangusha Wananchi linapokuja suala la usajili

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
9h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
13h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
18h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
18h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
18h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
22h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’