Chabruma arithi mikoba ya Mmachinga Yanga Princess

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
30 Dec 2022
Chabruma arithi mikoba ya Mmachinga Yanga Princess

Winga wa zamani wa timu ya Taifa ya Wanawake, Twiga Stars Ester Chabruma amejiunga na Yanga Princess katika majukumu ya kocha Msaidizi

Chabruma amerithi mikoba iliyoachwa na Mohammed Hussein 'Mmachinga' ambaye mkataba wake ulisitishwa sambamba na aliyekuwa Kocha Mkuu Edna Lema

iChabruma amewahi kuzinoa klabu kadhaa nchini kama Ruvuma Queens, Tiger Queens na timu za Taifa za Wanawake hapa nchini

Chabruma pia amewahi kuzitumikia klabu kadha nchini ikiwemo Sayari Queens, Mburahati Queens ,JKT Queens na timu ya Taifa

Amewahi Kuitumikia timu ya Taifa ya Wanawake Twiga Stars Kwa mafanikio makubwa

Anaungana na kocha Sebastian Nkoma ambaye ndiye kocha mkuu wa Yanga Princess

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
36m ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
54m ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
1h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
11h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
11h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
14h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
18h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
21h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
22h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
1d ago
READ MORE β†’