Mlinda lango namba moja wa Yanga Djigui Diarra ameongeza mkataba ambao utamfanya abaki na Wananchi mpaka mwishoni wa msimu wa 2024/25
Diarra ni mmoja wa wachezaji wa kigeni ambao wako katika kiwango bora kwenye kikosi cha Yanga
Rais wa Yanga Injinia Hersi Said amesema uongozi wake unaendekea kuhuisha mikataba ya wachezaji inayoelekea ukingoni
Diarra ni kipa bora wa ligi kuu msimu uliopita huku msimu huu akiongoza kwa cleansheet 10
ADVERTISE HERE