Yanga imehitimisha kampeni ya michuano ya kombe la Mapinduzi baada ya kulazimishwa sare ya bao 1-1 dhidi ya Singida Big Stars
Yanga ilihitaji kushinda mchezo huo ili kutinga nusu fainali lakini haikuwa bahati kwa upande wao
Francis Kazadi alifunga bao la Singida BS kabla ya David Bryson kusawazisha kupitia mpira wa adhabu
Singida BS wamemaliza wakiwa vinara wa kundi B kwa tofauti ya mabao dhidi ya Yanga timu zote zikiwa na alama nne



ADVERTISE HERE