Aziz Ki ajifua na Asec Mimosas

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
10 Jan 2023
Aziz Ki ajifua na Asec Mimosas

Kiungo mshambuliaji wa Yanga Stephane Aziz Ki yuko nchini Ivoery Coast kwa ajili ya mapumziko ya muda mfupi

Wachezaji wote wa Yanga ambao hawakushiriki michuano ya kombe la Mapinduzi walipewa mapumziko ya siku 10 wakati wale walioshiriki kombe la Mapinduzi wakipewa siku tano za mapumziko

Aziz Ki ametumia muda wake wa mapumziko vyema akifanya mazoezi na klabu ya Asec Mimosas, mabingwa wa Ligi Kuu ya Ivoery Coast

Aziz Ki alisajiliwa na Yanga akitokea klabu hiyo msimu uliopita

Wachezaji wa Yanga wanatarajiwa kurejea kambini siku ya Alhamisi Januari 12 ambapo nyota ambao hawakushiriki kombe la Mapinduzi wakitarajiwa kuripoti siku hiyo huku wenzao waliokuwa Zanzibar kwenye Mapinduzi Cup wakiongezewa siku moja zaidi ya mapumziko

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
9h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
9h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
13h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
13h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
18h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
18h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
18h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’