Yanga imemtambulisha rasmi mlinzi wa kati, Mamadou Doumbia raia wa Mali
Doumbia (26) anatua Yanga akitokea klabu ya Stade Malien, mabingwa wa ligi kuu ya Mali
Doumbia yuko kwenye kikosi cha timu ya Taifa ya Mali ambacho kinashiriki michuano ya CHAN huko Algeria
Lilikuwa hitaji la Yanga kuboresha safu ya ulinzi kuelekea hatua ya makundi ya michuano ya kombe la Shirikisho barani Afrika
Yanga imepata beki mwenye kimo sahihi kushughulika na ile mipira ya juu pale kwenye safu ya ulinzi
Karibu Jangwani Doumbia...!
ADVERTISE HERE