Yanga Princess dimbani dhidi ya Ceasiaa Queens

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
18 Jan 2023
Yanga Princess dimbani dhidi ya Ceasiaa Queens

Kinadada wa Yanga Princess wako mkoani Iringa ambapo jioni ya leo watakuwa dimbani kuwakabili Ceasiaa Queens katika mchezo utakaopigwa uwanja wa Mkwawa

Yanga Princess inayonolewa na kocha Sebastian Nkoma iliweka kambi ya siku tatu mkoani Iringa wakitokea Dodoma ambako walipata ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Baobab Queens

Yanga Princess inashika nafasi ya tatu kwenye msimamo wa ligi kuu ya Wanawake wakiwa na alama 10 kutoka mechi tano

Msimu huu kinadada Wananchi wamepania kutwaa ubingwa kwa mara ya kwanza

Timu hiyo inayosimamiwa na Makamu wa Rais wa Yanga Arafat Haji ina kila sababu ya kutwaa ubingwa kwani hata usajili uliofanyika ni wa Kimataifa

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
3h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
7h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
11h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
12h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
12h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
15h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’