Mabadiliko madogo ya ratiba ya Ligi Kuu yaliyofanywa na Bodi ya Ligi hivi karibuni, yamepelekea mchezo kati ya Yanga dhidi ya Ruvu Shooting kupigwa siku ya Jumatatu Januari 23 2023 badala ya kesho Jumamosi
Huu ni mchezo mwingine muhimu kwa Yanga kushinda ili kuendelea kuukaribia ubingwa wa 29 katika ligi kuu ya Tanzania
Katika mechi 10 zilizosalia, hesabu za Yanga ni kushinda mechi nane ukiwemo mchezo dhidi ya Simba ili kutetea ubingwa kwa msimu wa pili mfululizo
Kikosi cha Yanga kinaendelea na mazoezi mazoezi makali Avic Town kujiandaa na mchezo huo wa raundi ya 21
ADVERTISE HERE