Mlinda lango Metacha Mnata ameanza vyema majukumu yake katika kikosi cha Yanga akipata ushirikiano kutoka kwa wenzake Djigui Diarra na Erick Johora
Metacha alijiunga na Yanga Januari 15 saa chache kabla ya dirisha dogo la usajili kufungwa ili kuongeza nguvu baada ya Aboutwalib Mshery kupata majeraha ambayo yanaweza kumuweka nje kwa muda mrefu

ADVERTISE HERE