Metacha Mnata anaendelea kuchota madini kutoka wa 'mdaka mishale' Djigui Diarra, mlinda kango namba moja wa Yanga
Metacha yuko tayari kuanza kuitumikia Yanga baada ya kurejea akitokea klabu ya Singida BS
Jumapili Januari 29 Yanga itashuka uwanja wa Benjamin Mkapa kuikabili Rhino Rangers katika mchezo wa kombe la FA
Metacha anatarajiwa kukaa langoni katika mchezo huo ambayo Yanga inahitaji ushindi ili kutinga hatua ya 16 bora


ADVERTISE HERE