Leo Jumamosi Yanga itashuka uwanja wa Benjamin Mkapa kuumana na Namungo Fc katika mchezo wa ligi kuu ya NBC
Kwa wale Wananchi ambao bado hawajajisajili kuwa Wanachama au Mashabiki wa Yanga basi fursa imesogezwa kwenu
Zoezi la uandikishaji litafanyika nje ya Uwanja wa Benjamin Mkapa kuanzia saa 4 asubuhi leo
Unajiandikisha, kadi yaki inatengenezwa na unapatiwa hapo hapo

ADVERTISE HERE